VIDEO | Movie ya ‘The Lion King’ Imeuza zaidi ya Dola Bilioni 1 kwa Siku 19 tu toka Iachiwe | Download Mp4 [New News]
WATCH VIDEO | Movie ya ‘The Lion King’ Imeuza zaidi ya Dola Bilioni 1 kwa Siku 19 tu toka Iachiwe | Download Mp4 [New News]...
Katika siku 19 tu tangu kuachiwa kwa Movie ya “The lionKing” Tayari Imeisha tengeneza zaidi ya dola bilioni 1 na kuifanya kuwa filamu ya nne ya mwaka huu kupata takwimu hiyo.
Mwanzo Kabisa Movie Inayokwenda kwa jina la “Aladdin” ilichukua miezi miwili kabla ya kuvuka kizingiti cha dola bilioni 1, na filamu hiyo sasa ni ya sita kuuzidi Iliyovuka Mauzo ya dola bilioni 1.
Kwa Kuongeze Movie kama“Aladdin”, “Avenger: Endgame” na “Captain Marvel” zilimepata Mauzo makubwa Mno, na inasemekana kwamba Movie kama “Frozen 2” na “Star Wars: Rise of Skywalker” Znaweza kufanya hivyo hivyo katika Mauzo, ambayo ingesaidia Kampuni ya Disney Kutengeneza faida ya dola bilioni 9 Kwa mwaka huu 2019.
Bonyeza DOWNLOAD kuitazama
No comments: